Des - Januari - Feb
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 14 Januari ni siku ya kumi na nne ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 351 (352 katika miaka mirefu).

Matukio hariri

Waliozaliwa hariri

Waliofariki hariri

Sikukuu hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Potito wa Sardica, Gliseri wa Antiokia, Felisi wa Nola, wafiadini wa Raithu, Nino wa Georgia, Firmino wa Mende, Eufrasi wa Clermont, Dasyo wa Milano, Fuljensi wa Ecija, Lazaro Devasahayam Pillai n.k.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 14 Januari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.