John Frank Adams (5 Novemba 1930 - 7 Januari 1989) alikuwa mtaalamu wa hisabati wa Uingereza, mmoja wa wasaidizi wakubwa wa nadharia inayohusisha mfumo wa vikundi kwa kila mpangamano wa anga.

Frank Adams (kulia) na Dieter Puppe mwaka 1962, Aarhus
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frank Adams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.