Frank George Mwakajoka

Frank George Mwakajoka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tunduma kwa miaka mitano ( 20152020.) [1] Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi milanzi kuanzia mwaka 1981-1988. [2]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-26. Iliwekwa mnamo 2020-01-26.