Frank Wilczek
Frank Anthony Wilczek (amezaliwa 15 Mei, 1951) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa amechunguza nadharia ya kwanta. Mwaka wa 2004, pamoja na David Gross na David Politzer, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Frank Wilczek kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |