15 Mei
tarehe
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 15 Mei ni siku ya 135 ya mwaka (ya 136 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 230.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1890 - Katherine Anne Porter, mwandishi kutoka Marekani
- 1921 - Jack Steinberger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988
- 1936 - Paul Zindel, mwandishi kutoka Marekani
- 1940 - Basil Pesambili Mramba, mwanasiasa wa Tanzania
- 1948 - Brian Eno, mwanamuziki wa Uingereza
- 1981 - Patrice Evra, mchezaji mpira wa Ufaransa
Waliofariki
hariri- 884 - Papa Marinus I
- 1036 - Go-Ichijo, mfalme mkuu wa Japani (1016-1036)
- 1976 - Samuel Eliot Morison, mwandishi na mwanahistoria kutoka Marekani
- 2008 - Willis Lamb, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1955
- 2011 - Samuel Wanjiru, mwanariadha kutoka Kenya
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Petro, Andrea na wenzao, Kasyo na Viktorini, Simplisi wa Sardinia, Akilei wa Larissa, Retisi, Kalebu wa Aksum, Severino wa Settempeda, Rupati wa Bingen, Vitesindi, Isidori mkulima n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 6 Januari 2008 kwenye Wayback Machine.
- On this day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 15 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |