Frans van der Lugt

Franciscus Joseph Wilhelmus van der Lugt, S.J. (anajulikana kama Frans van der Lugt au Pater Frans; 10 Aprili 19387 Aprili 2014) alikuwa kasisi wa Shirika la Yesu kutoka Uholanzi.

Alianzisha kituo cha kijamii na shamba karibu na jiji la Homs, Syria, ambapo alifanya kazi kwa ajili ya kuboresha maisha ya watu wenye ulemavu na kukuza umoja kati ya Wakristo na Waislamu.[1][2][3]

Marejeo

hariri
  1. 2014 Hagiography Circle
  2. Anton de Wit (22 Januari 2022). "Dutch Jesuit murdered in Syria unlikely to be beatified, sources say". Crux Now. Iliwekwa mnamo 18 Mei 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Dutch priest's beatification on hold after sex abuse comments". Dutch News. 21 Januari 2022. Iliwekwa mnamo 18 Mei 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.