Frederick McFeely "Fred" Rogers (20 Machi, 1928 - 27 Februari 2003) alikuwa mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani.

Fred Rogers

Fred Rogers, mnamo 1982
Amezaliwa Fred McFeely Rogers
(1928-03-20)Machi 20, 1928
Latrobe, Pennsylvania, Marekani
Amekufa 27 Februari 2003 (umri 74)
Latrobe, Pennsylvania, Marekani
Kazi yake Mwigizaji, mchekeshaji
Miaka ya kazi 1951–2003
Ndoa Joanne Byrd (1952)
Watoto 2

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fred Rogers kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.