Frederic L. Paxson
Frederic Logan Paxson (23 Februari 1877 – 24 Oktoba 1948) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1925, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake History of the American Frontier.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Frederic L. Paxson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |