Katika vivinjari, fremu ni sehemu ya ukurasa wa mtandao ambayo inayaonyesha maudhui huru na kipeto chake (ukurasa). Kwa kawaida, fremu inaandika kwenye HTML.

Mfano wa fremu hariri

Kwenye lugha ya programu HTML, fremu ni :

<frameset cols="85%, 15%">
  <frame src="http://www.mfano.com/frame_1.html" name="frame_1">
  <frame src="http://alt.mfano.com/frame_2.html" name="frame_2">
  <noframes>
    Kinjari chako hakitumii fremu. 
    <a href="http://www.mfano.com/frame_1.html">Bonyeza hapa</a> ili kuona fremu 1. 
    <a href="http://alt.mfano.com/frame_2.html">Bonyeza hapa</a> ili kuona fremu 2.
  </noframes>
</frameset>


Marejeo hariri

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.