Lugha ya programu
Lugha ya programu ni aina ya lugha iliyoandikwa inayoongoza tarakilishi kufanya kazi fulani kama inayotarajiwa na mwandishi. Lugha za namna hiyo zinatumika kuandaa programu zote za kompyuta. Ni kama seti ya maelekezo ya kufuata.
Kosa dogo katika kuandika linaweza kusababisha madhara makubwa. Hivyo ni lazima uhakikishe umeandika vizuri kila herufi, tarakimu au alama nyingine yoyote.
Hapa chini kuna orodha ya lugha za programu:
Yaliyomo: Mwanzoni - 0–9 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
A Edit
B Edit
C Edit
D Edit
F Edit
G Edit
H Edit
J Edit
K Edit
- Karel
- Kotlin