Freya Gregory (alizaliwa 12 Januari 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uingereza ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Aston Villa [1][2] inayoshiriki ligi ya Wanawake (WSL). Freya anacheza kwenye timu ya taifa ya Uingereza kwa walio na umri chini ya miaka 23.[3][4]

Marejeo hariri

  1. https://twitter.com/FreyaGregory23/status/1279338951086616577
  2. Wrack, Suzanne (2021-04-28), "Birmingham’s Sarri grabs vital draw with last-minute goal against Aston Villa", The Guardian (kwa en-GB), ISSN 0261-3077, iliwekwa mnamo 2024-04-22 
  3. The Football Association. "WU19s squad named for EUROs". https://www.englandfootball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-22. 
  4. The Football Association. "Young Lionesses set for action". https://www.englandfootball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-22. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Freya Gregory kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.