12 Januari
tarehe
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 12 Januari ni siku ya kumi na mbili ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 353 (354 katika miaka mirefu).
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1854 - Hugo Birger, mchoraji wa Uswidi
- 1856 - John Singer Sargent, mchoraji kutoka Marekani
- 1899 - Paul Hermann Müller, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1948
- 1916 - Pieter Willem Botha, Waziri Mkuu na Rais wa Afrika Kusini
- 1970 - Raekwon, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1990 - Andrey Marcel Ferreira Countinho, mchezaji wa mpira kutoka Brazil
Waliofariki
hariri- 1519 - Kaisari Maximilian I wa Ujerumani
- 1667 - Mtakatifu Bernardo wa Corleone, bradha wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Italia
- 1997 - Charles Huggins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1966
- 2009 - Susanne Wenger, msanii kutoka Austria na kuhani wa Wayoruba nchini Nigeria
- 2010 - Zilda Arns, daktari wa watoto kutoka Brazil
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Arkadius wa Mauretania, Tigri na Eutropi, Sesaria wa Arles, Fereoli wa Grenoble, Benedikto Biscop, Aelredo wa Rievaulx, Martino wa Msalaba Mtakatifu, Bernardo wa Corleone, Margarita Bourgeoys, Antonio Maria Pucci n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 12 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |