Frozen (filamu ya 2013)

Frozen ni filamu ya katuni-muziki ya mwaka 2013 kutoka Marekani iliyotayarishwa na Walt Disney Animation Studios na kutolewa na Walt Disney Pictures.[4] Hii ni filamu ya 53 kutolewa katika mfululizo wa filamu za Walt Disney Animated Classics.

Frozen

Posta ya filamu
Imeongozwa na
Imetayarishwa na Peter Del Vecho
Imetungwa na
  • Chris Buck
  • Jennifer Lee
  • Shane Morris
Nyota
Muziki na
Sinematografi
  • Scott Beattie (layout)
  • Mohit Kallianpur (lighting)
Imehaririwa na Jeff Draheim
Imesambazwa na Walt Disney Studios
Motion Pictures
Imetolewa tar. Novemba 19, 2013 (2013-11-19) (El Capitan Theatre)
Novemba 22, 2013 (2013-11-22) (Marekani)
Ina muda wa dk. Dk. 102[1]
Nchi Marekani
Lugha Kiingereza
Bajeti ya filamu $150 million[2][3]
Mapato yote ya filamu $1.280 billion[3]

Hadithi

hariri

Filamu inahusu watoto wawili wa mfalme; mmoja anaitwa Anna na mwingine anaitwa Elsa. Elsa alikuwa ndiye mkubwa na alikuwa amezaliwa na uwezo wa kutowa barafu mikononi. Siku moja wazazi wao walisafiri na katika safari hiyo njiani kwa bahati mbaya walipata ajali. Ajali hiyo ilisababisha wakapotezamaisha,baada ya hapo mtoto wao mkubwa Elsa alikuwa malkia katika mji uitwao Dameski lakini ilipogundulika kuwa ananguvu za ajabu walimkataa na kutaka kumuua. Kujisaindia alikimbia na kwenda kuishi mbali ili asije akawadhuru kwa nguvuzake.

Mdogo wake ambaye ni Anna aliamua kumfuata dada yake ambaye ni Elsa kwenda naye katika mji unaoitwa Dameski akawe malkia wao akakubali alivyo jua kuzikontrolunguvuzake nakuenda pamoja naye. Mwisho wananchi walimkubalia akawa mtawala wao malikia Elsa.

Marejeo

hariri
  1. "Frozen". Ontario Film Review Board. Novemba 12, 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 16, 2014. Iliwekwa mnamo Januari 15, 2014. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Smith, Grady. "Box office preview: "Frozen" ready to storm the chart, but it won't beat "Catching Fire"", November 27, 2013. Retrieved on 2021-03-12. Archived from the original on 2015-01-12. 
  3. 3.0 3.1 "Frozen". Box Office Mojo. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 26, 2021. Iliwekwa mnamo Januari 26, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Disneyland Resort Debuts "World of Color – Winter Dreams," a Merry New Spectacular for 2013 Holiday Season", July 27, 2013. "from the upcoming Walt Disney Pictures animated feature "Frozen"" 
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frozen (filamu ya 2013) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.