Fukuoka, Fukuoka

Fukuoka (福岡市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Fukuoka. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1.4 wanaoishi katika mji huu.

Fukuoka
Bendera ya Fukuoka
Bendera
Nchi Japani
Kanda Kyūshū
Mkoa Fukuoka
Idadi ya wakazi
 - 1,422,836
Tovuti: www.city.fukuoka.jp
Flag of Fukuoka City.svg

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fukuoka, Fukuoka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.