'

Funmi Aragbaye
AmezaliwaJulai 5, 1954
Kazi yakemwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Nigeria


Funmi Aragbaye (amezaliwa Julai 5, 1954) ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Nigeria, mtunzi wa nyimbo na mwinjilisti. [1] [2]

Orodha ya nyimbo zake hariri

  • "Mungu wa Wokovu"(1983)
  • Sioni Furaha (1983)
  • Sehemu Njema
  • Utukufu wa Mungu"


Marejeo hariri

  1. "Music Marketers Are Dubious--Funmi Aragbaiye". nigeriafilms.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 April 2015. Iliwekwa mnamo 15 March 2015.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Marketers are dubious-Funmi Aragbaye". The Nigerian Voice. Iliwekwa mnamo 15 March 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Funmi Aragbaye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.