Fuya Godwin Kimbita

Fuya Godwin Kimbita (amezaliwa tar. 7 Mei 1967) ni mbunge wa jimbo la Hai katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Fuya Godwin Kimbita (17 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.