Muhammed Hakeem Mahoney,alizaliwa nchini Gambia, anajulikana pia kama Gambino Akuboy, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa muziki wa Afrobeats, mwigizaji na mwandishi wa skrini.

Mzaliwa wa Gambia, kwa sasa anaishi Uingereza . Muhammed H. Mahoney anajulikana kwa uigizaji na uandishi wa hati za filamu, ameiandikia TV ya taifa ya Gambia . Mnamo 2016 alishinda tuzo ya Video bora ya muziki katika tuzo za Muziki za Wah Sa Halat [1] nchini Gambia na muziki wake huchezwa mara kwa mara kwenye redio ya BBC. [2] Muhammed H Mahoney pamoja na Ousman Jarju walianzisha RebelVZN, [3] kampuni huru ya utengenezaji wa media titika, ambayo ilitoa filamu fupi kama vile MEBET . [4]

Marejeo hariri

  1. "‘WMAGambia". WMAGambia FB (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 8 September 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "On BBC UK". bbc.co.uk (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 8 September 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "rebelvzn". rebelvzn.com (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 8 September 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "short film". rebelvzn.com (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 8 September 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gambino Akuboy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

[[Jamii:Mbegu za muziki wa Afrika