Gary Sherman Snyder (amezaliwa 8 Mei 1930) ni mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1975 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Gary Snyder, 2007

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gary Snyder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.