Gebretsadik Abraha

Gebretsadik Abraha Adihana (amezaliwa 16 Julai 1992) ni mwanariadha wa mbio ndefu wa Ethiopia. Mnamo 2019, alishinda mbio za Guangzhou Marathon zilizofanyika Guangzhou, Nchini china aliweka rekodi mpya ya kukimbia kwa muda wa masaa 2:08:04. [1] [2]

Marejeo hariri

  1. "Ethiopians dominate Guangzhou Marathon, seven runners break event record", Xinhua, 8 December 2019. Retrieved on 2023-02-18. Archived from the original on 2020-02-13. 
  2. "Pacemaker wins Abu Dhabi Marathon – weekly round-up", Athletics Weekly, 9 December 2019. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gebretsadik Abraha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.