Gemma Jayne Evans (alizaliwa 1 Agosti 1996)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Welisi,ambae anacheza kama kiungo au beki wa klabu ya Manchester United F.C. inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Welisi.

Marejeo

hariri
  1. The Football Association. "The website for the English football association, the Emirates FA Cup and the England football team". www.thefa.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-30.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gemma Evans kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.