George Dillon (mshairi)

George Hill Dillon (12 Novemba 19069 Mei 1968) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1932 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Dillon (mshairi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.