George Graham Paul

Mwanasheria wa Uingereza aliyetumikia nchini Nigeria, Sierra Leone na Tanganyika

Sir George Graham Paul (pia anajulikana kama Graham Paul au GG Paul; 15 Novemba 1887 - 1960) alikuwa mwanasheria wa Uingereza ambaye alihudumu katika utawala wa kikoloni nchini Nigeria, Sierra Leone na Tanganyika.

Maisha yake ya Awali

hariri

Tarehe 12 Oktoba 1906 iliripotiwa kwamba Bw George Graham Paul, mtoto wa Bw George Brodie Paul alihitimu Shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha St Andrews. Paul alikua mwanachama wa Kitivo cha Mawakili cha Uskoti, katika taaluma yake ya sheria kwa kuwa sheria ya nchini scotland ni ya kipekee kwa Uskoti. Licha ya hayo, alifanya vyema katika mfumo wa mahakama wa kikoloni.[1]

Marejeo

hariri
  1. Feingold, Ellen R. (2018-02-09). Colonial Justice and Decolonization in the High Court of Tanzania, 1920-1971 (kwa Kiingereza). Springer. ISBN 978-3-319-69691-1.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Graham Paul kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.