George Malima Lubeleje

George Malima Lubeleje (amezaliwa tar. 12 Februari 1950) ni mbunge wa jimbo la Mpwapwa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu George Malima Lubeleje (13 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnjeEdit