Gerard Tlali Lerotholi

Gerard Tlali Lerotholi O.M.I. (aliyezaliwa 12 Februari 1954) ni mhubiri kutoka Lesotho wa Kanisa Katoliki la Roma ambaye amekuwa Askofu Mkuu wa Maseru, Lesotho, tangu 2009.[1]

Marejeo

hariri
  1. (in it) Rinunce e Nomine, 11.11.2019 (Press release). Holy See Press Office. 30 June 2009. https://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2009/06/30/0441/01031.html. Retrieved 11 November 2019.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.