Ggaba ni kitongoji ndani ya jiji la Kampala katika Mkoa wa Kati huko Uganda.[1]

Mahali pa Ggaba katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°15′23″N 32°38′10″E / 0.25639°N 32.63611°E / 0.25639; 32.63611

Mahali hariri

Ggaba kiko katika mwambao wa kaskazini mwa Ziwa Victoria, kwenye ncha ya kusini ya jiji la Kampala.

Marejeo hariri

  1. Ikwap, Emma (18 September 2013). "Know Your Hood: Ggaba; a fishing hub close to the city centre". Daily Monitor. Kmpala. Iliwekwa mnamo 28 October 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)