Ghaziabad, India ni jiji la Jimbo la Uttar Pradesh nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.65 (2011). Ni mji mkubwa wa ishirini na moja nchini Uhindi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ghaziabad, India kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.