Gibson Blasius Meiseyeki

Gibson Blasius Meiseyeki ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Arumeru-Magharibi kwa miaka 20152020. [1] [2]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. https://peoplepill.com/people/gibson-meiseyeki/