Gibson Kente

Mwandishi wa tamthilia wa Afrika Kusini

Gibson Kente (1932 - 7 Novemba 2004) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika tamthiliya. Mwaka wa 2003 alitangaza kuwa alipatwa na Ukimwi akafa baada ya mwaka mmoja.

Maandishi yake hariri

  • How Long (1973)
  • I Believe (1974)
  • Too Late (1975)
  • Sekunjalo (1987)

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gibson Kente kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.