Gifty Anti

Mwandishi na mtangazaji mzaliwa wa Ghana

Gifty Anti (alizaliwa Januari 23, 1970[1]) ni mwandishi wa habari na mtangazaji mzaliwa wa Ghana.

Gifty Anti
Gifty Anti.
Gifty Anti.
Alizaliwa Januari 23 1970
Nchi Ghana
Kazi yake Mwandishi wa habari

Ndiye mwendeshaji wa kipindi kinachozungumzia Standpoint Ilihifadhiwa 26 Mei 2021 kwenye Wayback Machine. masuala yanayoathiri wanawake kwenye kituo cha GTV Televisheni ya Ghana.[2][3] Anajulikana kwa kutetea haki za wanawake.

Amepata elimu yake Alma mater Mfantsiman shule ya wasichana ya Secondari na Chuo cha "Ghana Institute of Journalism".

Marejeo

hariri
  1. "Oheneyere Gifty Anti looks younger than ever at age 50" (kwa Kiingereza).{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)
  2. "The StandPoint Profile". thestandpoint.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Julai 2015. Iliwekwa mnamo 9 Julai 2015. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "GIJ Women's Commission to honour Oheneyere Gifty Anti tonight". www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 2019-05-18.
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gifty Anti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.