Mtangazaji ni mtu anayeeneza au kutangaza habari za kitu, kwa mfano: biashara.

Siku hizi anatumia hasa vyombo vya habari kama vile runinga [1]..

Baadhi ya watangazaji wa Tanzania

hariri
  • Millard Ayo - Amplifaya na Clouds FM
  • Farhia Middle - ITV na Radio One.
  • Hamis Mandi aka B12 - XXL Clouds FM.
  • Raheem Da Prince - The Switch, Times FM.
  • Jabir Saleh - The Jump Off, Times FM.
  • Sam Misago - Power Jams , EA Radio.
  • Bizzo - Show Time; New Chapter, RFA.
  • Perfect Crispin - Club 10, Clouds FM.
  • Jimmy Jamal - Daladala Beat, Magic FM.
  • Maulid Kitenge - ITV na Radio One.
  • Falma Almas Nyakanga - Azam.
  • Grace Kingarawe - TBC1.

Tanbihi

hariri
  1. Teacher Pizo (2022-05-29). "LIST OF BEST TELEVISION CHANNELS IN TANZANIA (2022)". AFRICONA (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-11. Iliwekwa mnamo 2022-08-11.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtangazaji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.