Giza (Misri)

Giza (pia: Gizeh, kutoka Kar.: الجيزة al-gīza) ni mji wa kaskazini ya Misri unaopakana na mji mkuu Kairo. Kuna wakazi 2,443,490 (2005).

Giza

Bendera

Nembo

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Misri" does not exist.Mahali pa mji wa Giza katika Misri

Majiranukta: 30°01′N 31°13′E / 30.017°N 31.217°E / 30.017; 31.217
Nchi Misri
Mkoa Giza
Idadi ya wakazi
 - 2,443,490
Giza inavyoonekana kutoka angani: Bonde la Nile na mwanzo wa jangwa penye piramidi

Mji wa Giza waonekana kama mtaa wa Kairo tu lakini ni mji wa pekee. Zamani ilitengwa na mji mkuu kwa uwazi wa mashamba lakini siku hizi miji yote miwili imekua hadi kugusana kabisa.

Giza yajulikana hasa kama mahali pa piramidi.

Angalia piaEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: