Gladwell Jesire Cheruiyot
Gladwell Jesire Cheruiyot ni mwanasiasa wa Kenya na mwanachama wa chama cha Kenyan Africa National Union (KANU) tangu 2017.[1] Gladwell ni mwakilishi wa wanawake katika Kaunti ya Baringo.[2][3]
Marejeo
hariri- ↑ myleader.co.ke. "Gladwell Cheruiyot Jesire, for Women Representative Baringo County". My Leader Kenya (MLK) (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-03.
- ↑ pm, Anthony Owino on 25 June 2019-7:39. "Find Out What Women Reps Do". Kenyans.co.ke (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-02.
{{cite web}}
: CS1 maint: numeric names: authors list (link) - ↑ "Gladwell Jesire Cheruiyot". Mzalendo (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-02.
Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |