Go-Uda wa Japani
Go-Uda (17 Desemba, 1267 – 16 Julai, 1324) alikuwa mfalme mkuu wa 91 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Yohito, na alikuwa mwana wa pili wa Kameyama. Mwaka wa 1274 alimfuata baba yake Kameyama, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1287. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Fushimi.
Angalia pia
haririMakala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Go-Uda wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |