Google I/O
Makala hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zisizowekewa vyanzo zinaweza kuwekewa alama na kuondolewa. |
Google I/O au I/O kwa kifupi, ni mkutano wa kila mwaka wa wasanidi programu unaoandaliwa na Google, mjini Mountain View, California. Neno "I/O", limetolewa kwenye namba googol, huku "I" ikiwakilisha "1" kwenye googol, na "O" ikiwakilisha "0" kwenye namba.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Google I/O", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-01-05, iliwekwa mnamo 2024-01-12
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |