Grace Clinton (alizaliwa 31 Machi 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uingereza.[1]

Clinton akichezea Bristol City mnamo 2023

Marejeo hariri

  1. "Playing Hardball Clinton Style", Blessed Experiences (University of South Carolina Press): 226–231, iliwekwa mnamo 2024-04-27 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Grace Clinton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.