Grace Cunard (8 Aprili 189319 Januari 1967) alikuwa mwigizaji, mwandishi wa miswada ya filamu, na mkurugenzi wa filamu wa Marekani.

Grace Cunard

Enzi ya filamu za kimya, alicheza katika zaidi ya filamu 100, aliandika au kushirikiana kuandika angalau filamu 44 kati ya hizo, na aliongoza angalau filamu nane.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Twelfth Census of the United States: 1900," digital image of original census page, June 11–12, 1900, household of Washington Jeffries, Montgomery Township, Columbus City Ward 17, Franklin County, Ohio. Bureau of the Census; National Archives and Records Administration, Washington, D.C.
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Grace Cunard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.