Grace Lolim ni mwanaharakati wa haki za binadamu na amani kutoka Kenya, pia ni mwenyekiti wa kamati ya amani ya Isiolo, mwanzilishi na mkurugenzi mkuu wa dawati la jinsia la isiolo. [1]

Marejeo

hariri
  1. "Defying Culture in Pursuit of Peace « Defenders Coalition" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-02-20.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Grace Lolim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.