Isiolo ni mji wa Kenya na makao makuu ya kaunti ya Isiolo.

Isiolo
Isiolo is located in Kenya
Isiolo
Isiolo
Mahali pa mji wa Isiolo katika Kenya
Majiranukta: 0°21′0″N 37°35′0″E / 0.35°N 37.58333°E / 0.35; 37.58333
Nchi Kenya
Kaunti Isiolo
Idadi ya wakazi
 - 46,128

Wakazi walikuwa 46,128 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].

TanbihiEdit

  1. Sensa ya Kenya 2009, tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.