Grand Theft Auto IV

Grand Theft Auto IV ni mchezo ambao ulitengenezwa na Rockstar North na kuchapishwa na Rockstar Games.

Picha za GTA

Mchezo huu ulitolewa kwa ajili ya PlayStation 3 na Xbox 360 tarehe 29 Aprili 2008 na kwa ajili ya Microsoft Windows tarehe 2 Desemba 2008. Grand Theft Auto IV ni mchezo wa kumi na moja katika mfululizo wa Grand Theft Auto.

Viungo vya nje hariri

 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Grand Theft Auto IV kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.