Rockstar Games, Inc ni kampuni ya Marekani inayojishughulisha na uchapishaji wa michezo ya kompyuta. Michezo mingi inayochapishwa kutoka katika kampuni hii inahusisha sana mambo yaliyopo katika mji wa New York.

Michezo iliyochapishwa na kampuni ya Rockstar Games

hariri

Hadi sasa kampuni ya Rockstar Games imechapisha michezo mingi sana ya kompyuta. Michezo hii ni kama vile: Bully, mfululizo wa Grand Theft Auto, L.A. Noire, mfululizo wa Manhunt, mfululizo wa Max Payne, mfululizo wa Midnight Club, mfululizo wa Red Dead na The Warriors.

Mfululizo wa Grand Theft Auto kama ulivyochapishwa na Rockstar Games

hariri
Mwaka Mchezo
1997 Grand Theft Auto
1999 Grand Theft Auto: London 1969
Grand Theft Auto: London 1961
Grand Theft Auto 2
2001 Grand Theft Auto III
2002 Grand Theft Auto: Vice City
2004 Grand Theft Auto: San Andreas
Grand Theft Auto Advance
2005 Grand Theft Auto: Liberty City Stories
2006 Grand Theft Auto: Vice City Stories
2008 Grand Theft Auto IV
2009 Grand Theft Auto IV: The Lost and Damned
Grand Theft Auto: Chinatown Wars
Grand Theft Auto: The Ballad of Gay Tony
Grand Theft Auto: Episodes from Liberty City
2013 Grand Theft Auto V

Tanzu za Rockstar Games

hariri

Michezo inayochapishwa na Rockstar Games inatokana na mkujumuisho wa jitihada kutoka katika tanzu za kampuni hiyo.

Nembo Jina Mahali Mwaka
  Rockstar India Bangalore, India 2016–sasa
  Rockstar International London, England 2003–sasa
  Rockstar Leeds Leeds, England 2004–sasa
  Rockstar Lincoln Lincoln, England 2002–sasa
  Rockstar London London, England 2005–sasa
  Rockstar New England Ballardvale, Massachusetts, U.S. 2008–sasa
  Rockstar North Edinburgh, Scotland 2002–sasa
  Rockstar San Diego Carlsbad, California, U.S. 2002–sasa
  Rockstar Toronto Oakville, Ontario, Canada 1999–sasa

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rockstar Games kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.