Gratiana ulikuwa mji wa kale katika jimbo la Kirumi la Africa Proconsularis, lililokuwepo katika Afrika ya kaskazini. [1][2]

Jimbo la kirumi la Africa Proconsularis (mwaka 125 BK.)

Gratiana iliwahi kuwa makao makuu ya dayosisi ya kale ya Kanisa Katoliki na kwa sasa ni jimbo jina.

Marejeo

hariri
  1. J. Mesnage, L'Afrique chrétienne, (Paris, 1912), p. 201.
  2. GCatholic - (former and) titular bishopric
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gratiana (Afrika) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.