Greater Upper Nile

Greater Upper Nile ni kanda la Sudan Kusini linalojumuisha majimbo ya majimbo ya Umoja, Nile ya Juu na Jonglei, mbali ya maeneo ya pekee ya Pibor na Ruweng. Hadi uhuru wa Sudan Kusini kwenye mwaka 2010 ilikuwa mkoa wa Sudan.

Uko kaskazini mashariki mwa nchi.

Kwa jumla ni kilometa mraba 236,208 zenye wakazi 4,120,000 hivi (2014)

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Greater Upper Nile kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.