Gregory Pardlo (amezaliwa 24 Novemba 1968) ni mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2015 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Gregory Pardlo, 2015

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gregory Pardlo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.