Gro Harlem Brundtland

Waziri Mkuu wa 29 wa Norway

Gro Harlem Brundtland (amezaliwa 20 Aprili 1939) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Alikuwa Waziri Mkuu wa Norwei mara tatu, yaani 4 Februari hadi 14 Oktoba 1981; 9 Mei 1986 hadi 16 Oktoba 1989; na 3 Novemba 1990 hadi 25 Oktoba 1996, .

Gro Harlem Brundtland

Angalia Pia hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gro Harlem Brundtland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.