Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Norwei
(Elekezwa kutoka Waziri Mkuu wa Norwei)
Makala hii inaonyesha orodha ya Mawaziri Wakuu (kwa Kinorwei statsminister) wa Norwei.
Norwei |
![]() Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |

Frederik Stang alikuwa Waziri Mkuu kwanza wa Norwei.

Gro Harlem Brundtland alikuwa mwanamke kwanza aliyekuwa Waziri Mkuu wa Norwei.
Mawaziri Wakii tangu 1873 mpaka 1945Edit
1940–1945: Vita Kuu ya Pili ya DuniaEdit
- Waziri Mkuu aliyefukuzwa: Johan Nygaardsvold
- Waziri Mkuu: Vidkun Quisling (Nasjonal Samling) (tangu 5 Aprili mpaka 15 Aprili 1940)
- Mktuano wa baraza ya utawala: Ingolf Elster Christensen (tangu 15 Aprili mpaka 25 Septemba 1940)
- Mawaziri wa Naibu (tangu 1940 mpaka 1942)
- Rais wa Mawaziri: Vidkun Quisling (Nasjonal Samling) (tangu 1942 mpaka 1945)
Mawaziri Wakuu tangu 1945Edit
Jens Stoltenberg ni Waziri Mkuu sasa.
MarejeoEdit
- ↑ Birger Braadland na Nils Trædal walikuwa maziri wakuu kwamba Peder Kolstad alipokuwa mgonjwa na alipokufa.