Gustav Stresemann

Tuzo Nobel.png


Gustav Stresemann (10 Mei 18783 Oktoba 1929) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka wa 1923 alikuwa Waziri Mkuu na kuanzia 1924 hadi 1929 alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Mwaka wa 1926, pamoja na Aristide Briand alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.

Gustav Stresemann
Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gustav Stresemann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.