Gwanda ni mji wa Zimbabwe, makao makuu ya mkoa wa Matabeleland Kusini.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa kuwa 27,000.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gwanda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.