Gyöngyi Gaal
Mwamuzi wa soka wa Hungaria
Gyöngyi Krisztína Gaál (alizaliwa 26 Juni 1975 ) ni mwamuzi wa mpira wa miguu kutoka nchini Hungaria.
Kazi ya uamuzi
haririGyöngyi Gaal alichezesha mechi yake ya kwanza ya kimataifa mwaka 2002 kati ya Romania na Croatia. [1]
Aliku miongoni mwa waamuzi wa katika michuano ya Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2007, ambapo alichezesha mechi mbili za makundi, robo fainali na mchujo wa nafasi ya tatu. [2] [3]
Marejeo
hariri- ↑ "Referees – GAAL Gyoengyi". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Referees – Top 100". WorldReferee.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Gyöngyi Gaal – Women World Cup 2007 China – Appearances as referee". worldfootball.net. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gyöngyi Gaal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |