Haba Haba
Haba Haba ni muziki uliofanywa na mwanamuziki mwenye asili ya Norwe na Kenya na mwandishi wa Stella Mwangi. Ulikuwa muziki wa kuingilia katika shindano la muziki la Eurovision ya mnamo mwaka 2011. Ilikuwa ni rekodi ya pili ya studio album kinanda (2011). Muziki ulichaguliwa kutumia mchanganyiko wa kupiga kura, kura ya jury na kura ya watazamaji kule OsloSpektrum katika maonyesho ya uchaguzi wa National pre-selection Melody Grand Prix tareh 12 Februari 2011. Iliweza kupatikana patika mfumo wa kupakua kwa kidijitali siku moja kabla ya kufanyiwa tamasha katika nusu fainali ya tatu."Haba Haba" ilishikilia namba nane katika wiki yake ya kwanza ya kuachiwa, kabla ya kundelea kuwa namba moja katika wiki nne mfululizo katika chati ya watu wasi na wapekee wa norwei.[1]mnamo tarehe 10 May 2011,ili ilimalizika katika cha kwanza cha nusu fainali 1 na kufanyiwa tamasha ikiwa ya pili katika jukwaa[2]
Marejeo
hariri- ↑ "norwegiancharts.com - Stella Mwangi - Haba haba". norwegiancharts.com. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.
- ↑ "European Broadcasting Union", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2023-05-14, iliwekwa mnamo 2023-05-14