Hades

(Elekezwa kutoka Hade)


Hades (Kigiriki cha Kale: ᾍδης, Hadēs; kutoka Ἅιδης, Haidēs au Άΐδης, Aidēs; Kidoriki: Ἀΐδας, Aidas) ni mungu wa kuzimu na bwana wa waliokufa katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Pluto katika dini ya Roma ya Kale.[1]

Hades
Sanamu ya Hade na mbwa mwenye vichwa vitatu Serbero
Mfalme wa Kuzimu
Mungu wa Waliokufa
MakaoKuzimu
AlamaSerbero, Helmeti ya Giza, Muhuhu, Narsisi, Ufunguo wa Hade
MwenziPersefona
WazaziKrono na Rea
NduguPoseidoni, Demetra, Hestia, Hera na Zeu
WatotoMakaria, Melinoe, Zagreo na Plutu
Ulinganifu wa KirumiPluto, Dis Pater, Orcus
Ulinganifu wa KietruskiAita

Marejeo

hariri
  1. Cartwright, Mark, "Hades", World History Encyclopedia, iliwekwa mnamo 29 Juni 2015{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link).
  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.